AINEA NATAMANI KUONA RAPNATION WAKIFANIKIWA, NITAHAKIKISHA NAWASAIDIA KWA KILE NIWEZACHO. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, January 6, 2016

AINEA NATAMANI KUONA RAPNATION WAKIFANIKIWA, NITAHAKIKISHA NAWASAIDIA KWA KILE NIWEZACHO.

Msanii wa muziki toka dodoma ambaye ameweza kupiga hatua kwa kiasi kikubwa amesema moja ya wasanii ambao anatamani kuona wakipiga hatua ya mafanikio ni pamoja na kundi la muziki wa kufoka foka RAP NATION.
ainea mwenye blue alipata nafasi ya kupiga selfie na waandaji wa kipindi cha micharazo.
Akizungumza na kituo cha radio 98.4 dodoma fm radio Ainea amesma amesha anza harakati za kuwasaidia vijana hao ili waweze kufikia malengo yao kwenya muziki wanao ufanya kwa sasa.

kupitia kipindi cha micharazo time ambacho huruka kila siku ya jumatatu mpaka ijumaa saa 11 jioni hadi saa 1 na dk 45 Ainea amesema tayari amesha warekodia nyimbo moja na yamebaki marekebisho machache ambayo yakirekebishwa tu wimbo huo kutatoka kutokanana na kuwa wenye kiwango cha juu na ni wimbo amabo ni mzuri.

Ainea amesema ameamua kufanya kazi na kumdi hilo kutokana na heshima na nidhamu waliyo kuwa nayo.

Na benedict ngelangela.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages