Anaitwa obby mlatino ni msanii wa muziki toka dodoma ambaye anamalengo ya kuhakikisha kuwa anafika mbali sana kupitia muziki anao ufanya pamoja na kuhakikisha anaufikisha mbali muziki wa bongofleva mbali.
obby mlatino
obby ni msanii anayejihusisha na muziki wa hip hop laini toka dodoma na hivi karibuni anampango wa kuachia video yake mpya ambayo inaitwa kimnyato iliyoongozwa na director wakuitwa Erick Backamaza.
video queen wa wimbo wa kimnyato
Obby anakualika pindi atakapo achia video yake mpya uweze kuitazama na kumsapoti kwa lolote lile.
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates which are professionally designed and perfectlly seo optimized to deliver best result for your blog.