
kupitia ukurasa wake wa facebook siku ya jana ambayo sheria ya mitandaoni ilianza kutumika alipost maneno ambayo ni yakushangaza na kushtua kwa wote ambao walikuwa wakitumia muda wao kuzitolea maneno machafu mitandaoni.
SOMA ALICHO ANDIKA HAPA.
@@@@Nina furaha sana kwan Leo ndio tarehe ambayo ukomboz wa matusi katika mtandao umeboreshwa km unabisha tukana tena NYAMBAGO AWARDS halaf tuonane mahakamani, thanks to MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA@@@@
SWALI NI MJE wahusika wameupata ujumbe?
Tuzo za Nyambago zinatarajia kufanyika kati ya mwezi wa 9 au mwezi wa 10.