DIAMOND PLUTNUMZ ATWAA TUZO YA MSANII BORA ZAIDI AFRIKA - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, September 5, 2015

DIAMOND PLUTNUMZ ATWAA TUZO YA MSANII BORA ZAIDI AFRIKA

KALI wa Bongo Fleva nchini, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ametwaa tuzo ya Msanii Bora wa Afrika katika tuzo zilizotolewa na Uganda Entertainment. Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Diamond amewashukuru mashabiki wake waliompigia kura na kufanikiwa kutwaa tuzo hiyo pamoja na kuwaomba waendelee kumpigia kura katika vipengele vingine ambavyo anawania tuzo mbalimbali.

Diamond Platnumz.
Alichokiandika Diamond baada ya ushindi huo:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages