
KOKU amesema tayari amesha shoot video hiyo ambayo imetengenezwa na muongozaji anae chipukia kwa kasi nchini NICRASY na wamepanga kuitoa siku ya juma mosi kuitoa mbele ya umati mkubwa wa watu.
PiA Ameongeza na kusema kuwa video hiyo itazinduliwa katika viwanja vya NGALAWA BAR au CLUB 7 kwenye big screen.
Kuhusu kiingilio KOKU amesema kiingilio ni bure kabisa kuanzia saa 12 jioni na kuendelea.