
Akizungumza na kipindi cha Micharazo time toka 98.4 dodoma fm radio JACCO amesema alikuwa akifanya shughuli zake dar lakini ijuma hii ataingia dodoma kwa ajii ya kumsapoti msanii mwenzake toka dodoma ambaye anamkubali sana.
Akielezea ni jinsi gani amejipanga kutoa burudani kali JACCO Amesema inabidi mashabiki zake wasikose kufika kwani anasilaha za kutosha kwenye show na kuwaacha watu midomo wazi.
Show hiyo itayo fanyika siku ya jumamosi katika ukumbi wa NGALAWA BAR&CLUB 7 Napia kuatakuwa na show ya live band.
Na BdeliciousMnyalu