JE WEWE NI MKAZI WA MBEYA, FANYA KUMPIGIA KURA FETTY DASANTOZ KAMA MTANGAZAJI BORA WA KIKE - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, September 11, 2015

JE WEWE NI MKAZI WA MBEYA, FANYA KUMPIGIA KURA FETTY DASANTOZ KAMA MTANGAZAJI BORA WA KIKE

Anaitwa Fetty Dasantoz ni mtangazaji wa kituo cha radio Highland Fm kilichopo mkoani Mbeya, yupo kwenye kinyang'anyiro cha kugombea kama mtangazaji bora wa kike 2015 kwenye tuzo za MMW AWARDS

Kumpigia kura andika MTANGAZAJI MKALI WA KIKE tuma 05 kwenda O657335632 Kumwezesha kushinda.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages