
kwasasa wamejipanga kuachia nyimbo yao mpya walio ifanya chini ya producer DOUBLE Y kutoka G SOUND RECORDS.
Moja ya vijana wanao unda kundi hilo ni pamoja na BREEZY, SLAYER HUN RAPER,BOY SANTANA RAPER, OMMY KIM ambaye ni mwimbaji.BREEZY nae ndani
Kaa mkao wa kula kuwa subiri na ujio wao mpya.