MUIGIZAJI TOKA DODOMA JOYCE KEY NI MOTO WA KUOTEA MBALI, AWAKIMBIZA WASANII WAKUBWA KWENYE WARAKA WANGU. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, August 22, 2015

MUIGIZAJI TOKA DODOMA JOYCE KEY NI MOTO WA KUOTEA MBALI, AWAKIMBIZA WASANII WAKUBWA KWENYE WARAKA WANGU.

Baada ya mtandao huu wa siku za nyuma kuripoti story kuhusu muigizajii wa kike JOYC KEY kuwa chimbo kwa ajili ya kuachia vitu kuntu sasa muda umewadia.
joyce key kwenye ubora wake
mwanadad huyo amabye mpaka sasa ameanza kuonekana ni tishio baada ya kuto toka kuptia filamu za kubahatisha kwani amepata bahati ya kushoot filamu na mastar wakubwa ambao ni wakuigwa.
kuanzia siku ya juma tata mitandao mingi ilitema cover ya filamu mpya iitwayo WARAKA WANGU ambayo imeandaliwa na kampuni ya GODHANDS PRODUCTION ambayo humo ndani amecheza na wasanii kiboko yao ambao ni HASHIM KAMBI na GRACE MAPUNDA huku pia chipukizi mwingine aliye cheza humo ndani ni bidada ZHAKI wa ukweeeh.
kazi mpya amabyo joyce key kahusika
filamu hii iliyo ongozwa na director SUNDAY KHALFAN mabyo inatarajiwa kutoka siku ya tarehe 24 mwezi wa 8/2015 siku ya juma pili.
cover
unaambiwa asiye na mwana aeleke jiwe. UNAAMBIWA ASIYE NA MWANA AELEKE JIWE.
USIKOSEEEEEEEEE........... WARAKA WANGU.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages