Kupitia ujumbe huo ambao haukuambatana na picha ya aina yoyote Materu ameelezea magumu ayapatayo toka kwa watu ambao sio marafiki zake wa kweli(maadui zake) kwani wamefikia hatua za kumtumia hadi ujumbe wa matusi kwenye ukurasa wa facebook.
hakuishia hapo pia ameelezea kuwa kwasasa yupo tayari kuto kuendelea na uigizaji tena.
mtandao huu wa ngelangelanews ulipo anza kufuatilia ili kujua ukweli wa aliyoyaandika na kuchukua hatua ya kumtumia message inbox (facebook) alijibu kuwa ni kweli ameecha kuigiza na ni maamuzi yake binafsi.
MATERU AKIWA LOCATION |
SWALI NI JE? jacline kwenye post hiyo alilamika kuwa kuna watu wamemtukana baada ya kupost kuwa yeye ni SUPER STAR lakini baada ya muda mfupi kuna post nyingine ya mtu mwingine ilitoka na baadhi ya wadau wakadai kuwa ni jibu/dongo kwa bidada huyo.
POST ILISOMEKA
MOJA YA KAZI ALIZOWAI KUZICHEZA KABLA YA KUTANGAZA KUSTAFF. |
je kuna mfanano wowote wa post izo mbili au walio comment kuwa muhusika ni uyo wamekosea?
BADO MTANDAO HUU UNAENDELEA KUFUATILIA KIUNDANI ZAIDI KUJUA CHANZO.