
LEO NDANI ya kipindi cha micharazo time kinacho rushwa kila siku ya juma tatu mpaka alhamisi muda kuanzia saa 11 jioni hadi saa 2 usiku kupitia kituo cha radio cha 98.4 dodoma fm radio kutakuwa na wasanii wenye umri mdogo lakini uwezo mkubwa kisanaa ambao wanaunda kundi la RAP NATION TEAM watanzungumza ishu mbalimbali ikiwemo track mpya aliyo itoa mwana kundi wa kundi hilo UNCRECABLE ambayo imeonesha kuwataja baadhi ya wasanii kutoka mkoani dodoma.
kwa mic ni bng@bdelicious@ngelangela pamoja na Andrew Qcky