katika hali ya kushangaza vijana hao wawili wameonekana kwenye picha ya pamoja iliyotumwa na Breezy kupitia yake na kuandika maneno ya kujipa mayo ambayo yalisababisha mashabiki wengi wa muziki kuanza kuwafiriji.
PICHA NA CAPTION ILISOMEKA HIVI.

@@@@@@@Namwenzangu alie katwa kwa nyambago Central awards
Supertall TZ@@@@
swalli ni maneno hayo ni kuashiria walikuwa wastahili kuingia kwenye tuzo hizo lakini imetokea tofauti au lah???