NA HII NDIO MAELEZO NA PICHA TOKA KWAKE.
7 mins · Instagram · japo mpiga picha hakunitendea haki bt t sound memory to me kuna graduate nakukabidhiwa cheti na muwakilishi Wa ubalozi wa marekani#AMERICANNEXTLEVEL project as a producer na muimbaji ...another international credit to me ...much more to come
USIKOSE KUSIKILIZA MICHARAZO TIME KUJUA KIUNDANI HII STORY SIKU YA JUMA TATU SAA 11 JIONI HADI SAA 2 USIKU. KUPITIA 98.4 DODOMA FM RADIO.

