
Baadhi ya watu walianza kujiuliza kuwa nini kimemkumba msanii huyu wa filamu ambaye ni maarufu sana mkoani dodoma JACQULINE MATERU baada ya kuwa mara kwa mara amekuwa akipost status zenye ujumbe kama vile unawalenga watu au kundi la watu kupitia ukurasa wake wa facebook na kuwaacha watu wengi njia panda.
Baada ya mwandishi wa mtandao huu kukutana na status izo pamoja na comment za marafiki zake amegundua kuwa ni lazima kuna kitu nyuma kinaendelea ambacho kimemkera mwanadada huyu ambaye ni mrembo na mwenye kipaji kikubwa.
Mwandishi wa mtandao huu umepekenyuakwa kina na kugundua kuwa MATERU anawapa ujumbe watu watu wenye tabia zifuatazo ambazo sio nzuri kabisa.
1. WANAO FUATILIA MAMBO YA WATU.
2.WANAO TAKA KUMUHARIBIA KAZI ZAKE
3.WANAO TAKA KUPATA KICK KUPITIA YEYE.
4.WAMBEA
5.WAPIGA MAJUNGU.
NA HII NI MOJA KATI YA STATUS ZAKE ZENYE UZITO NA UJUMBE MZITO KWA WATU WENYE TABIA KAMA HIZO HAPO JUU.