
Dodoma fm radio kupitia kipindi cha MICHARAZO TIME kilimtafuta Msanii huyo na amethibitisha kuwa wapo tayari kufanya kazi na msanii huyo ambaye anamiliki band ya the bband.
alipoulizwa kama nyimbo yatakayo ifanaya itapewa jina gani Sometimes Memo hakuwa tayari kulisemea hilo na kusema itakuwa suprise kwa wasikilizaji na wapenzi wa muziki wake.
Pia amesema nyimbo hiyo itaandaliwa na maproducer wawili kutokana na mgawanyo wa kazi kwani lazima nyimbo hiyo iguswe na producer wake pamoja na producer wa banana zoro.