VIDEO THE CAPITAL TZ YAWAKUTANISHA BREEZY NA RACHEL NJINGO BEEF LAO BADO NI UTATA MTUPU. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, July 6, 2015

VIDEO THE CAPITAL TZ YAWAKUTANISHA BREEZY NA RACHEL NJINGO BEEF LAO BADO NI UTATA MTUPU.


BAADA ya watu wawili ambao inasemekana kipindi cha nyuma walikuwa ni wapenzi, mahaba yao yaliishia njiani biola sababu huku kila mmoja akimtuhumu mwenzake kuwa ndiye chnzo na ni mbaya kiroho na kiakili.
hivi karibuni Breezy ameechia wimbo wake mpya unaitwa TAMU na kwenye mashahiri hayo breezy amemdiss mwigizaji huyo mkali wa kike toka kanda ya kati.
Bila hiyana mmiliki wa mtandao wa Capital Tz aliwakutanisha waasimu hao wawili na kufanya nao xclusive interviw Tazama vide hapo chini.
kwenye  mahojianao hayo breezy ameonekana akimuita Rachel dada ake huku aibu na kicheko cha kulazimisha kikidondoshwa na msichana Rachel Njingo
 nae mtangazaji wa dodoma fm radio baada ya kuzipata nyepenyepe izo kupitia kipindi cha Micharazo Time ameahidi kumtafuta msanii huyo Rachel siku ya alhamisi ili kujua mambo hayo kiundani zaidi.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages