![]() |
MSANII MIRRACLE |
Msanii wa hipo hop toka dodoma Mirracle siku ya leo amepost picha akiwa na msanii mrembo toka dodoma wakuitwa Koku ambaye kwasasa anatamba na nyimbo yake aliyomshirikisha msanii Bushoke.
picha hiyo iliyo ambatana na maneno yenye utani ndani yake pamoja na ukweli kwa mbaaaliii Miracle ameandika.
(Bushoke atabaki kuwa Mume bwege)
![]() |
MIRRACLE NA KOKU WAKIWA KWENYE POZI |
#MiracleNoma #KokuNoma...
Nazingua Si Mnajua Expirienc...
Penda Mzik Mzur Kama Mimi.. Download Koku Ft Bushoke~NAKUWAZA
DREAMZ REC
MTANDAO HUU BADO UNAFANYA JITIADA ZA KUMTAFUTA MSANII HUYO KUTHIBITISHA NA KUELEZEA KAULI YAKE HIYO.