BREAKING NEWS. MCHAKATO WA NYAMBAGO AWARD KUANZA RASMI SIKU HII. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, July 6, 2015

BREAKING NEWS. MCHAKATO WA NYAMBAGO AWARD KUANZA RASMI SIKU HII.

ULE MCHAKATO ulio kuwa unasubiliwa kwa hamu kanda ya kati sasa kuanza rasmi juma mosi ya wiki hii.
ripoti toka kwa mratibu mkuu wa Tuzo hizo Suleish Marah kupitia ukurasa wake wa facebook amepost maelezo yakieleza mchakato huu siku ya kuanza rasmi.
SOMA ALICHO ANDIKA HAPA

@@Kamati maalumu ya tuzo za kanda ya kati NYAMBAGO AWARDS kuundwa mwisho wa wiki hii siku ya jumamosi@@


Kwa upande mwingine pia Sulesh Marah alieleza kamati ambayo itasimamaia mchakato mzima itajumuishwa baadhi ya watu ambao wapo kwenye tasnia ya burudani.

Kamati maalumu za kupendekeza vipengele /categories za tuzo za kanda ya kati NYAMBAGO AWARDS, zipo mbioni kuundwa.. Kamati hizo zitajumuisha makundi mbalimbali ya wadau wa kazi ya Sanaa kanda ya kati, Dj's, RADIO PRESENTERS, MUSIC PRODUCERS, MEDIA DEALERS, MOVIE DIRECTORS AND PRODUCERS na wadau wengine wengi katika sekta ya burudani kanda ya kati, WITO:wasanii kaeni mkao wa kupata ushindani mkubwa pia ubora wa tuzo mwaka huu umeboreshwa kupunguza mapungufu yasiyo ya lazima.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages