
Msanii wakizazi kipya toka dodoma ambaye amechukua kick kubwa baada ya kusikika mistari kwenye nyimbo yake mpya inayoitwa TAMU na kusadikika kuwa amemchana msichana ambaye yupo kwenye Tasnia ya Uigizaji na kutamba na Movie ya Claritha.
Breezy ametoa siku ya kusema ukweli juu ya suala hilo ambalo amekuwa akisumbuliwa na watu wengi na kuulizwa maswali ya kichokozi.
lakini ukweli toka kwa watu wa karibu wa Breezy pamoja na Rachel wanasema kuwa kwasasa watu hao ambao walikuwa watu wa karibu kpita maelezo kwasasa ni kama Panya na Paka na kusababisha hata Brezzy kumchana Rachel kuwa ni demu wa Skandel na Vipicha picha.
Breezy amesema siku ya juma tano ndani ya 98.4 dodoma fm Radio kupitia Micharazo Time atazungumzia yote na kusema kwanini amemuimba Rachel kwa ubaya.
MSIKILIZE HAPA.