
MSANII JACCO BEAT toka dodoma siku ya juma pili ameachia nyimbo yake mpya inayokwenda kwa jina la NIMEJIROGA Ambayo ameproduce yeye mwenyewe kwa ushirikiano wa producer dunga.
kupitia kipindi cha micharazo time Jaccobeat amesema hiyo nyimbo ni kati ya nyimbo ambazo anaamini itafanya vizuri kutokana na ubora wake na jinsi ambavyo ameandika mashahiri.
kuhusu kama video ataifanyia wapi breezy ametoa majibu pia.
NA HAYO NDO MAHOJIANO YOTE.