
Haya ni baadhi ya matukio ambayo hufanyika ndani ya kipindi cha micharazo time ndani ya 98.4 dodoma fm Radio hufanyika.
kipindi hiki huongozwa na watangazaji kama Geezle vol, na Benedict Ngelangela huku Dj Kevy na Dj Mario wakiwa kwenye Mashine.
TAZAMA VIDEO HAPA.https://youtu.be/ZENrP9IBiMA