siku ya ijumaa ilikuwa ni siku ya furaha tele toka kwenye kundi machachari linaundwa na vijana toka mkoani dodoma ambalo makazi yake ni kata ya nkuhungu.
siku hiyo ya tarehe 27 mwezi 6 ilikuwa ndio siku ambayo kundi hilo lilizaliwa na kupewa Jina MVEMEE na lilianza rasmi kujihusisha na ukuzaji wa sanaa mbalimbali.
sherehe hiyo iliambatana na uzinduzi wa filamu yao mpya iliyo beba jina la PICHA YA FAMILIA ambayo ni filamu yenye hadhi ya kimataifa na imekuwa suprise kwa wadau wengi zaidi wa filamu ambao walihudhuria siku hiyo ya kuzaliwa kwa kundi hilo.
HISTORIA FUPI YA KUNDI.
rasmi liliundwa nakijana machachari anaitwa kwa jina la JACKRAMA, Na alipopta aidia ya kuunda kundi aliwatafuta vijana wengine kama ROBBY MGAYA, Msanii wa muziki BREEZY na vijana wengine wengi.
lakini pia wakuishia hapo walikaa chini na kuunda jina ambalo litakuwa la kipekee na litakalo watambulisha kitaifa na kimataifa na walikubaliana kutumia jina la MVEE.