
Akizungumza kupitia radio ya dodoma fm radio kipindi cha Micharazo time Gifted amesema wimbo huo unatarajia kutoka hivi karibuni na amemshirikisha jamaa wakuitwa Aziz Granted.
lakini pia ameongeza na kusema wimbo huo kwasasa amebadilika sana na ameimba tofauti sana kwani hata lugha iliyo tumika hapo sio kiswahili bali mwanzo mwisho amerap kiingereza.
MSIKILIZE AKIONGEA LIVE KUPITIA MICHARAZO TIME YA 98.4 DODOMA FM