KIMEWAKA RAP NATION TEAM DODOMA, GIFTEDSON KULIPUA BOMU HILI.... NI HATARI - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, May 28, 2015

KIMEWAKA RAP NATION TEAM DODOMA, GIFTEDSON KULIPUA BOMU HILI.... NI HATARI


Najua wajua kati ya vijana wadogo toka dodoma wanao fanya mziki wa Hip hop na Rap na kufanya vizuri zaidi sasa wamejipanga na ngoma kali zitakazo kuwa gumzo mtaani.
baada ya kuachia track yao wakiwa kama kundi huyu hapa kijana toka kundi la Rap Nation Team Giftedson anaachia ngoma mpya hivi karibuni ambayo kamshirikisha Azizi Granted.
na hivi karibuni itaanza kusikika toka kwenye radio mbalimbali ndugu/jamaa/ marafiki stay tuned....

ARTIST NAME
GIFTED SON
FUTURING
AZIZI GRANTED
SONG
.................................................
COMING SOOOOO.............N

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages