
Wimbo huo unaoitwa NIWEJE ambao umieombwa na msanii ambaye ni mdogo wake msanii AINEA ANAE itwa NICKRAY na audio imetengenezwa na Dtouch wa biorn production lakini video imetengenezwa na Mo Kali.
Wimbo huo mpya Nickray kamshirikisha msanii wakike wakuitwa koku.
TAZAMA VIDEO HAPA.