HIKI NDICHO KIPYA AMBACHO ULIKUWA HUKIJUI TOKA KWA DIR ERICK BACKAMAZA WA DODOMA, ATANGAZA UJIO MPYA - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, May 26, 2015

HIKI NDICHO KIPYA AMBACHO ULIKUWA HUKIJUI TOKA KWA DIR ERICK BACKAMAZA WA DODOMA, ATANGAZA UJIO MPYA

ukianza kuorodhesha madirector wakali toka kanda ya kati basi list yako itakuwa haijakamilika kama hujamtaja Erick backamaza toka dodoma, miongoni mwa kazi ambazo aliwai kuitoa ni video ya MAYA yake One six na ilifanikiwa kufanya vizuri kwenye TV kubwa za bongo.
Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu jamaa alikuwa chimbo akijipanga kuachia mabomu ya hatari na sasa yupo tayari na tayari amemtangaza msanii wake ambaye anaanza nae kwenye project mpya ambaye ni BIG DADY.
kupitia ukurasa wake wa facebook Dir Backamaza ameandika ujumbe huu kwa mafansiwake pamoja na kuambatanisha na picha.

'''''''TO MA BELOVED FUNS
Nimekuwa Kimya kwa Mda flan
Hii ni kwa sababu za Kiufundi
Hope kuanzia Tarehe 06/06/2015 Narejea Kivingne
==Tangu Naanza Sikutamani KUTOKA,Nilitamani Tu KUINGIA==''''''''''
EXCLUSIVE TOKA KWA DIRECTOR HUYO ni kuwa kwa sasa yupo kwenye kampuni YAKE  mpya ambayo ni After Daylight company ambayo ipo jijini Dar na tawi lake ni mkoani dodoma na kuongozwa na backamaza.
miongoni mwacha picha toka kwenye video mpya
mrembo aliye tumika kwenye video

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages