MSIKILIZE D JARO ARUNGU WA TBC AKIIZUNGUMZIA TUZO ALIZO PATA KWENYE TUZO ZA WATU HAPA. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, May 25, 2015

MSIKILIZE D JARO ARUNGU WA TBC AKIIZUNGUMZIA TUZO ALIZO PATA KWENYE TUZO ZA WATU HAPA.


Kati ya watangazji wa radio wa muda mrefu huwezi shindwa kumtaja D jaro Arungu wa tbc fm, hivi karibuni aliwashangaza watanzania wengi kwakunyakua tuzo mbili kwa mpigo kama mtangazaji wa radio anaye pendwa pamoja na kipindi kinacho pendwa zaidi.
D JARO alikuwa akipambana na watangazaji ambao wapo kwenye kick kwa sasa kama Millard ayo wa clouds fm.
Mwanahabri wa mtandao huu HAMISI MAKOA a.k.a JIZZLE VOLT Alifanya mahojiano na mtangazaji huyo
YAPO MENGI AMBAYO ULIKUWA HUYAJUI TOKA KWAKE NA HAPA ANATUPA SIRI YA MAFANIKIO MSIKILIZE

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages