
Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu akifanya mahojiano kwenye kipindi cha Take One hapo jana amekiri kuwa alitoa mimba maana hakuwa tayari kwa wakati ule.Ilikuwa mwaka 2008 na mimba ilikuwa ya marehemu Steven Kanumba
Kanumba alikuwa akimwambia kuwa nitakudai watoto wangu, kauli hii inamaanisha kuwa alitoa mimba zaidi ya moja.
Akizungumzia kuhusu kupata mtoto amesema anatamani sana kuwa na mtoto lakini ndio hivyo tena kahangaika sana lakini hajafanikiwa.Anadai labda wakati anatoa kuna vitu viliguswa ndio maana hafanikiwi kupata mtoto.
Anasema anajuta/hajuti kukosa mtoto.
Pia amekiri alihongwa BMW,kuhusu MURANO anasema lilikuwa na matatizo ya shockup na halikuwa katika hali nzuri.
Sheria za Tanzania haziruhusu suala la Utoaji wa mimba katika Criminal Procdure Act ,1985 .
Katika sheria hio hio suala hili limejumuishwa katika makosa ya "Murder" ambayo makosa yake yanaweza kwenda kifungo cha maisha au kifo
Katika jedwali la Adhabu inaonesha adhabu zifuatazo kwa watu wanaotoa au kushiriki kutoa Mimba
- tika jamii yetu kuna watu ambao aidha kwa mazuri au mabaya yao wamekuwa wakiangaliwa na watu wengi.Vyombo vya habari pia vimekuwa vikiuza kwa kuwataja kutokana na scandals zao.
Hapa namwongelea Wema Sepetu ambaye yeye pia anaandikwa sana hasa na Magazeti ya "Udaku"
Magazeti haya yanasomwa sana na jamii kubwa ya watanzania hasa kutokana na hali zetu za elimu na "mazingira"
Huyu Binti amefikia hatua ya Kusema "Proudly" kuwa alitoa mimba kwa sababu hakuwa tayari,hili amelisema wakati akihojiwa na mtangazaji Zamaradi mketema wa Clouds TV;