Baada ya kuto wekwa kwenye kipengele cha msanii bora anae chipukia msanii wa bongo fleva kutoka jijini mwanza ambaye kwasasa anatamba na kibao chake cha Nitazoea hivi karibuni ametoa kauli ya kujitoa kwenye tuzo za kill music awards ambazo zinatarajiwa kufanyika hivi karibuni.
Mo music mwaka 2014-2015 ametamba sana na nyimbo yake ya Basi nenda ambayo ilitikisa sana kwenye radio na tv mbalimbali.
msikilize hapa akizungumzia hatua ambayo imepelekea yeye na menejimenti yake kujitoa kwenye tuzo hizop.
HUYU HAPA MO MUSIC