Msanii wa bongo fleva PNC sasa kuzindua rasmi video ya nyimbo yake mpya ambayo imebeba jina la Yule Yule ambayo baada ya kukaa kimyaa kwa muda mrefu ndio nyimbo ambayo amekuja na imefanikiwa kumrudisha kwa kasi kwenye game la music.
Exclusive toka kwenye video hiyo ya PNC ni kumshirikisha model ambaye shughuli zake anazifanyia toka dodoma na ni mwanafunzi wa chuo lakini amekuja kuliteka soko la uigizaji na sasa anatamba na filamua kali inayoitwa CLARITHA.
TAZAMA VIDEO YENYEWE HAPA CHINI.
ANGALIZO USIPITWE KUNUNUA FILAMU KALI YA CLARITHA NA SASA INAPATIKA NCHI NZIMA MADUKANI KOTE.