
One six ni miongoni mwa wasnii toka dodoma ambao wamejaaliwa kipaji cha hali ya juu kutokana na mziki anao fanya ambao umetokea kuwavutia mashabiki wengi wa muziki.
kupitia show inayo rushwa j3 hadi alhamic toka 98.4 dodoma fm radio inayo ongozwa na Jizzle volt pamoja Bdelicious mnyalu Benedict Ngelangela One six amesema kwasasa yupo mjini dar es salaam ambapo tayari kafanya kazi na maproducer wakubwa kutoka studio mbalimbali.
Onesix amesema tayari amerekodi nyimbo mj recods chini ya marco chali lakini anampango wa kurudia nyimbo toka mensen selector.
MSIKILIZA HAPA AKIZUNGUMZA.