Ama kweli ukitaka sherehe yako ipendeze lazima pawe na muziki, lakini kwa kuthibitisha hilo kwenye wiki la elimu linalo fanyika mkoani dodoma kwa siku tano na kilelel chake ni ijumaa ya wiki hii vijana ambao wanafanya muziki wa kizazi kipya toka dodoma wameonyesha ozalendo wa hali ya juu kwa kuwa mstari wa mbele kusapot elimu nchini.
Tazama picha jinsi mambo yanavyoendelea.
kundi la Rap Nation wakifanya show |
wanafunzi pia wapo mstari wa mbele |
jizzle volt toka dodoma fm mwenye kitambulisho akiwa na Ally mzichi nyuma ni bush man |
Mexson Mzichi toka kundi la mazichi reality |
mambo hayoooo |
Big Born 90 nae yupo ndani |
vituko toka kwa bush man |
wasanii wa dodoma wakimsikiliza mtangazaji toka dodoma fm Andrew quicky aliye vaa kitambulisha |
jose akihost show |
vipaji toka kwa wanafunzi vikionyeshwa |
kiruuuuuuuuu |
sonnatha abul 97.7 |
ally mzichi |
rap nation haooooo |