
Wale wakali wa hip hop toka kitambo na wakongwe kwenye game la muziki toka dodoma wakuitwa Mazichi Reality wamekuja kuyateka maskio yako tena kwa nyimbo iliyopikwa kistadi toka studio ya AJ records.
kwenye nyimbo hii mazichi reality wamemshirikisha hit maker wa nyimbo ya maya (One six) chukua time kuisikiliza kwa hapa na kushare kwa ndugu jamaa na marafiki.