MSANII TOKA DODOMA JACCO BEAT KUJA NA NGOMA MPYA SAMBAMBA NA VIDEO NA TAYARI KAFANYA KAZI NA PRD MSWAKI MSIKILIZE HAPA AKIELEZEA. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, May 8, 2015

MSANII TOKA DODOMA JACCO BEAT KUJA NA NGOMA MPYA SAMBAMBA NA VIDEO NA TAYARI KAFANYA KAZI NA PRD MSWAKI MSIKILIZE HAPA AKIELEZEA.


Ukitaja kati ya wasanii kumi wanao fanya vizuri toka dodoma lazima kwenye list atakuwepo msanii wakuitwa Jacco beat ambaye pia ni mtayarishaji wa muziki wa kizazi kipya.
Akizungumza na Dodoma fm radio kupitia kipindi cha Micharazo time kuanzia 6mpka 9 alasiri kila siku na kuongozwa na Benedict Ngelangela na Jizzle volt.
Jacco beat amesema kwasasa anatarajia kuachia ngoma yake amabye ametengeneza mkoani dodoma pamoja na video yake hiyo lakini anakazi tayari kafanya na producer mswaki.
MSIKILIZE HAPA AKILIONGELEA HILO.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages