MSANII KUTOKA DODOMA BREEZY TAYARI KAFANYA KAZI NA MENSEN SELECTA, MSIKILIZE HAPA. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, May 14, 2015

MSANII KUTOKA DODOMA BREEZY TAYARI KAFANYA KAZI NA MENSEN SELECTA, MSIKILIZE HAPA.


Msanii anaye kwenda kwa jina la breezy a.k.a baba lao kupitia kituo cha radio cha dodoma fm radio kwenye kipindi cha Micharazo Time kinachoongozwa na JIZZLE VOL pamoja na BENEDICT NGELANGELA kwenye mahojianao maalumu amesema anashukuru kuwa video yake ya mama lao aliyoifanya jijini dar es salaam kuwa imepokelewa vizuri na wadau wa soko la muziki na ana amini kuwa itamfikisha mbali zaidi.
alipo ulizwa ni mikakatio gani anaifanya kuweza kuwapa ladha mpya mashabiki wake breezy amesema kwa sasa anatarajia kutoa wimbo uliotengenezwa na producer na muimbaji Mensen selector kutoka defatality muzic.
MSIKILIZE HAPA AKIZUNGUMZA

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages