
Baadhi ya wasanii wasio jielewa na kuhitaji msaada mkubwa wa akili zao kama zipo sawa kutokana na mambo yao yakizamani ambayo wanafanya kwenye ulimwengu huu wakisasa na wenye watu wenye akili nyingi.
hivi karibuni watu wanao jiita kuwa wapo kwenye kundi la wasanii walirekodi na kutoa nyimbo ambayo haina maadili kwenye jamii huku ikiambatana na matusi ya hali mazito ikiwalenga watangazaji wa radio na wuasanii wa mkoa wa dodoma.
licha ya kutokana matusi yanguoni na yangozini pia jamaa hao wanaojiita wagaga walisonga mbele kwa kuwataja majina watu waliokuwa wakiwatusi kwenye nyimbo hiyo wadau wamuziki mkoani dodoma wameonyeshwa kukasirishwa na wasanii hao.
HUU NI UJUMBE TOKA KWA MTANGAZAJI WA ABM RADIO AKIWAPA SOMO KUPITIA UKURASA WAKE WA FACEBOOK.
Hii Msg kwa Mapu*** cjuw Ashunga.....Wanaofanya good music waonekana na uwezo unajieleza ..wanaumme siku zote huwa 2naitana na kuongea na sio kuingia c2dio nakurekod Mipasho km akina Hadija Kopa na Isha Mashauzi Hip Hop c o Mipasho. nyie Wagaga cjui ashunga aka map**nga nimeona km waimba Mipasho uwezo wakuwachukulia ha2a 2nao ila 2napotezea coz nahisi 2tazifilisi familia zenu kwa kuuza viwanja/mashamba/Nyumba nk unapoteza tym yako kuingia c2dio na krekodi uma** kumtukana presenter na mkae mkijua hamctakika kwny media yeyote ya Dom fungueni Radio zenu msikiliza maghetoni kwenu ucione m2 kakaa kmy ukamchulia balidi na 2nashukuru kwa hayo ma2c yenu sis 2songa mbele kwanza hamja2ajiri nyinyi lakin yote kwa yote 2namuachia mungu@Wiston Makangale@Dj Jeff@Jizo Volt@Jose kendrik@Man Yuzo@Ngela Ngela@Dj D Tym@DDC@Central Zone@One Six@Jacko Beats@Double Y@Kid Man.@Bello bin
mtandao huu unaendelea kuwatafuta wataalamu wa sheria ili kujua ni hatua gani zitachukuliwa kwa mtu alie tukana kupitia nyimbo tena kwa kuwataja majina.