![]() |
director steve champion toka outline media. |
hawa ni vijana wawili toka tabora ambao wamekuja kuumiza vichwa vya madirector wengi kutokana na utofauti wao wa kazi ya kuongoza na kutengeneza video za muziki nchini.
![]() |
director omry toka outline media |
madirector hao wanao fahamika kwa majina ya Omry, na mwingine ni Steve Champion toka kampuni ya Outline media wamefanya video hii inayoitwa Look at me iliyoimbwa na Chars akimshirikisha Trish wali wali.
ITAZAME HAPA UONE UTOFAUTI NA UBUNIFU.