
Wakati vijana wengi wakiangaika kutafuta fursa ya kutoka na kupata madill makubwa ya kuonyesha vipaji vyao mbalimbali, kwa kijana huyu anaeitwa Rachel Njingo ambaye ni mwanafunzi wa st john toka dodoma mwaka huu 2015 unaonekana ni mwaka wa mafanikio na kusonga mbele zaidi.

Hivi karibuni ameiachia filamu yake ya Claritha ambayo inafanya vizuri sana kwasasa sokoni ambayo amecheza na mastaa wakubwa toka bongo movie, haja ishia hapo ameendelea kupambana na kuonyesha kiwango cha hali ya juu cha uigizaji kama anavyoonekana kwenye video hii mpya toka kwa pnc nyimbo inaitwa YULE yule.
NEW VIDEO YULE YULE, TOKA KWA PNC.