Msanii ben pol ambaye kwasasa anatamba na nyimbo yake ya sophia ambayo imekubalika mpaka kwa wasanii wanzake wakuimba mpaka wakashawishika kuirudia nyimbo hiyo.
Miongoni wa wasanii walio irudia nyimbo hiyo ni pamoja na Peter msechu pamoja na Quick Racker huku wakiimba kwa miondoko tofauti tofauti.
kupitia ukurasa wake wa facebook msanii huyo [ben pol] amepost picha iliambatana na maneno yakuwajuza mashabiki wake kuwa tayari video ya Sophia imekamilika na ameshapanga tarehe ya kuiachia video hiyo ya sophia ambayo location ya nyimbo hiyo imetumika mkoani dodoma.
HAYA NDO MANENO YA BEN POL AMEANDIKA