HII NI HISTORIA FUPI YA MSANII ONE SIX, INAWEZA IKAKUTOA MACHOZI. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, April 19, 2015

HII NI HISTORIA FUPI YA MSANII ONE SIX, INAWEZA IKAKUTOA MACHOZI.


Msanii wa kizazi kipya kutoka dodoma anayetamba na nyimbo yake ya Maya kupitia radio mablimbali na TV kubwa nchini kutokana na video yake kuwa na kiwango cha hali ya juu.

Msanii huyo ameshare story kuhusiana na maisha yake aliyopitia tangu kujitambua mpaka hapa alipofikia na hali halisi ya muziki wake anao ufanya.
Kupitia ukurasa wake wa facebook One six amepost status ambayo inazungumzia maisha yake halisi.
HAYA NI MANENO YAKE.
Yeyote aliepitia ugumu wa Maisha huwa anakua na respect na ubinadam na sio Wivu na chuki zisizo na sababu...me Pia ni miongoni mwa watu waliohaso kipindi kirefu(nshatembeza barafu,nimebeba zege udom wakati inajengwa nikiwa shulen azimio baada ya baba kugoma kulipa ada na nkaja msikiti wa ghadafi napo nkajenga na cha Mbili Ndo alikua boss
Ila Apo Apo nkaibiwa baiskel ila skuchoka nkaenda kuuza mitumba sabasaba na washkaj wananjua fresh..nimelala mageto zaid ya 20 apa mjin na wengine wapo humu..nshaendesha bdbd sana na wengine nimewajua humohumo,nshauza line za sim sana so me naamin sina Sababu YA kubishana na watoto wadogo wanaowezeshwa kila siku.......kila mshaji naijua tabia yake kama anavyonijua yey na sjui kulipa kisasi maishan mwang.....
 — 
Baadhi ya mashabiki wa muziki na wapenzi wanao kubali kazi zake walikuwa na maoni yao binafsi, na haya ni baadhi ya ushauri alio pewa msanii huyo.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages