TAZAMA BEHIND THE SCENE YA VIDEO MPYA TOKA KWA MSANII BREEZY TOKA DODOMA. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, April 19, 2015

TAZAMA BEHIND THE SCENE YA VIDEO MPYA TOKA KWA MSANII BREEZY TOKA DODOMA.


Kama kawaida zile harakati za watoto wa dodoma bado zinasonga mbele zaidi, Yule wakuitwa breezy hivi karibuni kupitia dodoma fm radio ilisikika story kuwa yupo tayari kuachia nyimbo mpya ambayo itaambatana na video kali zaidi.

Breezy amesema kwasasa yupo jijini dar es salaam ambako ndiko anafanyia harakati zake za kimuziki kwasasa na huko ndiko aliko shoot video yake mpya ambayo hakuwa tayari kuitaja inaitwaje.
NA HIZI NI BAADHI YA PICHA ZA SHOOT ZILIZO TUMIKA KWENYE VIDEO HIYO.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages