HUYU NDIYE MENEJA WA MSANII JOCO BEAT KWA KANDA YA KATI, NI MTANGAZAJI WA RADIO.. SOMA HAPA - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, April 17, 2015

HUYU NDIYE MENEJA WA MSANII JOCO BEAT KWA KANDA YA KATI, NI MTANGAZAJI WA RADIO.. SOMA HAPA


Wasanii wengi wa muziki mkoani dodoma wanashindwa kusogea kutokana na kukosa usimamizi mzuri wa kazi zao binafsi na wengi wao wakiishia kuzisikiliza kazi zao majumbani na kwao.




kwa kuligundua hilo msanii mwenye sauti ya kipekeemkoani dodoma Jacco beat ameamua kuachia kazi zingine kufanywa na mtu mwingine ili kuruhusu kazi zake kuwafikia watu wengi zaidi.

kupitia ukurasa wako wa facebook alipost picha yenye ujumbe wa kumtambulisha msimamizi wa kaze zake kanda ya kati.

UJUMBE WA JACO BEAT.
I thank God jana nilipata nafasi ya kuangana na mkuu wa wilaya wa dodoma mjini mama yetu BI.BETTY MKWASA katika kikao tukijadili jinsi ya kukwamua burudani dodoma ....uyo pembeni yangu ndo msamizi wa kazi zangu wangu kwa kanda ya kati ...iyo ni taarifa rasmi..jose mtoto wa
Like · Comment · 
Kama anavyoonekana hapo juu kwenye picha ni msanii jaco beat mwenye t shirt nyeupe pamoja na msimamizi wa kazi zake.
Kwaufupi msimamizi huyo wa kazi za jaco beat ni mtangazaji toka kituo kimoja cha radio nyemo fm, anafahamika kwa jina la la Jose.
Baadhi ya wadau wa muziki walipata nafasi ya kutoa maoni yao na walikuwa na haya yakusema kuiptia ujumbe huo wa jaco beat.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages