WAJUE TOP 3 YA WASANII WALIOFARIKI LAKINI BADO WANAINGIZA MKWANJA MREFU - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, November 6, 2014

WAJUE TOP 3 YA WASANII WALIOFARIKI LAKINI BADO WANAINGIZA MKWANJA MREFU

Kuna wasanii wengi ambao waliendelea kutengeneza mkwanja mrefu hata baada ya kufariki, lakini hawajafanikiwa kuingia katika list hii iliyotolewa na Forbes, mmoja wapo akiwa ni Tupac Shakur
Imepita miaka mitano tangu alipofariki mkali wa miondoko ya pop, Michael Jackson lakini ameendelea kuingiza mkwanja mrefu kila mwaka tangu alipofariki 
Mwaka huu hauna tofauti. Tangu ilipoachiwa album yake mpya Xcape, King wa Pop ameshikilia list kwa nafasi ya kwanza kwa kuingiza dola milioni 140 kwa mwaka huu

mkwanja mwingine bado unaingia kutoka sony/ATV Publishing Empire na Mijac catalogue pamoja na cirquel du soleil shows zake - Immotrtal (moja ya top 10 grssing tour of all time) na parmanent show ya Lasvegas.
"Watoto ambao hawakukua na Michael Jackson sasa wanamjua kupitia show hizo mbili" amesema Director wa show hizo, Jamie King, kwenye moja ya interviews. "Spirit yake bado ipo na sisi na muziki wake utaishi milele 
anaefatia katika list hiyo ni King mwingine - Elvis Presley, ambae ameingiza dola milioni 55 ambae alifariki August 16 1977. Bob Marley amefunga top 3 kwa kuingiza dola milioni 20 mwaka huu, na kufikia kuongeza dola milioni 2 kutoka milini 18 alizoingiza 2013 na kumfanya kuwa mmoja wa wanaounda list hii ambao mapata yao hayawi sawa kila mwaka wala kupungua.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages