Alishawahi kukiri kuwa japo ana watoto sita ila kuna mmoja ndio anamzimia zaidi ambaye ni Kim Kardashian, namzungumzia mwanamama Kris Jenner ambaye leo anasherekea siku yake ya kuzaliwa akiwa anatimiza miaka 59 basi mwane huyu kipenzi ametumia mtandao wa Instagram kuamuandikia ujumbe mtamu..usome hapa;;
"Happy Birthday to my best friend in the entire world!!!! After becoming a mom myself I understand you in a way I didn't think was possible! I respect so much how you are able to raise 6 children, have a career and give each of us so much attention and be our biggest supporter and love us so unconditionally!!! You are my idol, my mentor and superwoman!!!! I love you forever!!!!"
![]() |
Kim na kipenzi na mama yake |