Diamond Platnumz na mfanyabiashara
mrembo na muimbaji wa Uganda, Zari the Boss Lady hawakuishia kusafiri tu
kwenye ndege na siti moja kutoka Afrika Kusini. Ukweli ni kuwa walikuwa
wamepanga kukutana.
Ni movie inaendelea?
Diamond na Zari Picha za wawili hao
wakiwa nje ya hoteli ya Double Tree jijini Dar zinawaonesha wakifurahia
muda wa faragha pamoja kama wapenzi vile.
Maswali yanayozunguka kwenye vichwa vya
wengi ni je wawili hao ni item tayari au ni movie inaendelea kama
apendavyo kusema hitmaker huyo wa Number 1?
Tayari mashabiki wameanza kuhusi kuwa
kuna uhusiano mpya uliozaliwa kati ya mastaa hao ambapo katika picha
moja Zari aliandika: Don’t live your life enslaved by guilt.