PICHA RAIS UHURU KENYATA APANDA DALADALA KUTOKA IKULU MPAKA KICC - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, November 6, 2014

PICHA RAIS UHURU KENYATA APANDA DALADALA KUTOKA IKULU MPAKA KICC

Raisi wa nne wa Kenya Uhuru Kenyata amewaacha watu na surprise nyingine siku ya jana (jumatano) asubuhi baada ya kuamua kupanda matatu kuelekea KICC kwenye uzinduzi rasmi wa My 1964.
CEO wa Safari com Bob Collymore alipata heshima ya kupanda matatu hiyo na Raisi Kenyata kutoka Ikulu kuelekea katika uzinduzi ho.
My 1963 ni mfumo mpya ulioanzishwa na SafariCom ambao unapunguza matumizi ya pesa Cash kwenye daladala 






Haikuwa kama ambavyo imezoeleka kwa msafara wa maraisi kuonekana na magari mengi mengi yakimfata huku ulinzi ukiwa mkubwa, kwa Kenyata ilikuwa tofauti na desturi hiyo baada ya kuamua kupanda matatu kujionea mwenyewe jinsi mfumo unavyofanya kazi



Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages