Msanii anayefanya vizuri kwenye muziki wa Bongo fleva kwa sasa Diamond Platinumz ameonyesha jinsi gani njia ya mafanikio inavyozidi kufunguka kwa upande wake kwa hatua aliyopiga ya kukutana na mastaa wakubwa Afrika na kudiriki hata wengine kufanya nao kazi.
Akiwa nchini Nigeria kwenye utengenezaji wa video ya My number one remix aliyomshirikisha Davido,Diamond ame-share picha akiwa harusini kwa msanii Peter Okoye wa P square akiwa kangáa sana..Mcheki hapo chini!
![]() |
Diamond na Iyanyawww.ngelangelanews.blogspot.com |
![]() |
Akiwa na bwana harusi yaani Peter Okoye |
Cheki picha ya tukio zima..
![]() |
Lola Omotayo |
![]() |
Maharusi |