NAY WAMITEGO KUACHIA WIMBO MPYA 'NAKULA UJANA' - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, November 14, 2013

NAY WAMITEGO KUACHIA WIMBO MPYA 'NAKULA UJANA'




Hitmaker wa Salam Zao 'Nay wa Mitego' anatarajia kuachia wimbo mpya 'Nakula Ujana' kwania ya kuwaonyesha watu kwamba habahatishi kwenye game.

Akizungumza na tovuti hii alisema kumekuwa na maneno mengi sana kuhusu muziki wake kwamba huwa anabahatisha kila wimbo anaoufanya kwa hiyo basi tarehe 20 atadondosha kitu cha tofauti kwa mashabiki wa muziki wa Bongo Fleva.

'Kume kuwa na maneno mengi  kwamba mimi nabahatisha kwenye huu muziki sasa basi nataka niwahakikishie kwamba tarehe 20 nitaachia wimbo wangu mpya 'Nakula Ujana' ni wimbo wa tofauti kabisa  nadhani shabiki akiusikiliza atanielewa,mara nyingi sibahatishi kazi zangu'Alisema Nay wa Mitego

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages