WAKIONGOZWA NA MWENYEKITI WAO TAIFA WAKAMATWA NA POLISI IRINGA - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, August 25, 2013

WAKIONGOZWA NA MWENYEKITI WAO TAIFA WAKAMATWA NA POLISI IRINGA


 Mwenyekiti wa Chadema Bw Mbowe  akiwasili  uwanja  wa Mwembetogwa 
Viongozi  wawili  wa  Chadema  cha  Demokrasia na maendeleo (Chadema)  wakiongozwa na mwenyekiti  wao Taifa Bw  Freeman Mbowe  wanashikiliwa na  jeshi la polisi  mkoa  wa  Iringa  kwa mahojiano baada ya  kudaiwa  kujiongezea  muda  katika mkutano  wao  wa hadhara  kwa ajili ya  mabaraza la maoni ya rasmu  ya katiba .

Habari  kamili  itakujia  endelea  kuwa nasi  Daima

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages