![]() |
Emma Platnum kama Supervisor Captain On Board tukiwa tumewasili Mpanda. |
![]() |
Hawa ndio baadhi ya watu walioanza kusogea taratibu baada ya ndege kuwasili.. |
![]() |
Ebhana nachokiona mbele hapa ni Nyomi ya watu doooh......Mpanda people are my Royal FANS |
![]() |
Ni vurugu patashika...... |
![]() |
Ebhana siezi kuondoka bila kusalimiana nao,hapaa ndipo nilitokeza kuzungumza nao machache mahana hali ya usalama pale uwanjani aikua shwari tena. |
![]() |
I can feel the love,truly this people are making me alive. |
![]() |
![]() |